Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
- Thread starter
-
- #81
Sawa sawa nmekuelewa kiongozWe kijana hebu jifunze kwa Kuku Jogoo, Haina kuremba ingiza geto piga story kidogo sana kisha peleka moto. Usilete mambo ya series za kifilipino hapa.
Chukua hiiHivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23].
Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi kwamba hata mtu baki akiwaona anajua mpo pamoja lakini ukimtongoza ngwalaaa.
Hili swala linakuaje.
Pia soma:Mwanaume usione aibu kutongoza, ni sehemu ya kutimiza wajibu wako
Mwanamke akinionyesha ananipenda sitamtongoza kamwe, lkn nitahakikisha kila akutanapo nnami anafurahi Hadi basi. Harafu natafuta binti mwingine kumtega nijue vipi. Akikasirika Tu najua huyu yumo ndani .Ndo tulivyo.
Tafuta mbinu sasa ya kutuingia.
Hapo ndo patamu.