Anapanga kufanya kisasi kwa Mke wake

Anapanga kufanya kisasi kwa Mke wake

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii,

20240309_112245.jpg


Nini maoni yako?
 
Amle 0715
Hivi unadhani kula 0715 ni adhabu wakati watu wanapeana Kila Siku kama sehemu ya kuburudishana.

Me nadhani inaweza kuwa huyo jamaa mpya Kuna sehemu amekwama either hamkazi huyo Singo mama wake ama amelegalega kwenye kuhudumia, hivyo Bidada akaanza kuomba msaada Kwa X wake hivyo kujikuta wanakumbushia enzi
 
Kataa ndoa ndipo inazoa point tatu hakuna ulazima wa hayo maumivu.
Umeshauriwa na familia nzima akakaza fuvu alitegemea nini.
 
Mtu umekatazwa usioe singo mama mpaka na ukoo wote Sio baba yako Sio mama yako Sio babu wala bibi wote wamekataa

unajifanya sharukhan unajua mahaba sanaaa unapigwa tukio unaanza kulia unataka ulipe kisasi ili uende jela ukakazwe na wanaume wenzako ya nn yote hayo??
Nyege Haina adabu,thus maandiko na mila ukataza no sex before marriage
 
Kisasi hakipunguzi maumivu Wala hakirudishi muda uliopoteza
 
Back
Top Bottom