MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 603
Hali hii nilishwahi iona kwa dada mmoja hivi kumbe wako wengi .Mtoto akiacha kunyonya itabidi mzeiya uwe unampa azifanyie utundu nadhani maorgasma yatakuwa makali zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana,hiyo si hali ya kawaida mpendwa check na walokole kwanza hilo laweza kuwa pepo mahaba, afu nenda kawaone wataalam wa afyaKwa kweli naona aibu sana hata kuhadithia matatizo yangu hadharani ila imenibidi.
Mimi ni dada wa miaka 32 ,nimejifungua mwezi uliopita.
Sijui ni kwanini kwa kweli ila kila ninapomnyonyesha mwanangu nakuwa Napata orgasm. Yani najisikia vibaya sana jamani, sielewi kwanini nakuwa ninacome kila ninapomyonyesha mtoto, yani orgasm zenyewe ni zile ambazo zinakuwa very strong yani sijawahi kuzipata kama hizi huko nyuma nikiwa shughulini na mume wangu, mpaka sometimes najikuta nakauka mwili mzima kuna siku moja karibia nimdondoshe mtoto.imefikia pahala nikitaka kumyonyesha mtoto mpaka nijifungie chumbani niwe peke yangu ili mtu asinione ninavyotetemeka.
Hichi kitu kinanisumbua sana ,sijamwambia mtu yoyote hata mume wangu nimeshindwa kumueleza .ningependa kujua je kuna mwanamke yoyote ambae amewahi kuexpirience hichi kitu, je itaisha yenyewe au niende kwa doctor?
Naombeni ushari tafadhali najiona kama namuabuse mtoto wangu ila pia kuacha kumnyonyesha naona kama nitakuwa namkosesha kitu muhimu.
Great thinkers plz, wadada is this a normal thing? nimeguswa na huyu dada sana.
source;
Wataalam wa afya hawawezi, ni kusali tu, pepo la ngono hadi ukinyonyesha????Pole sana,hiyo si hali ya kawaida mpendwa check na walokole kwanza hilo laweza kuwa pepo mahaba, afu nenda kawaone wataalam wa afya
Hiyo ni kawaida itakwisha.