Anapenda kunyonya kidole nakushika chuchu!

Anapenda kunyonya kidole nakushika chuchu!

evvy

Senior Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
153
Reaction score
26
Nina mchumba wangu 25yrs old!..anapenda sana kunyonya kodole nakushika chuchu huku akiivutavuta!...sio siri tabia hii inanikeraa!..nimemuonya lkn wapi!!!..juzi kidogo tupate ajali eneo la rose garden kona ya tcu na gari kisa tulikua tunagombana kuhusu tabia hiyo...cha ajabu tumefika hm kaendelea tena na tabia hyo!!..daah nimechoka nisaidieni wana jf nifanyeje????
 
Pole sana mkuu! Ebu wataalamu wa mambo haya waje hapa jukwaani. I bet utapewa suluhisho.
 
Mh hiyo tabia sio ya kawaida! Ukimuuliza anakupa sababu gani za kufanya hivyo?
 
Umwache au unampenda sana? Sasa umeandika humu si ataona na atajua wewe mtu wa kupeleka mabo jamvini?
 
Sasa huyu mchumba wako mlikua mnaenda home kumfanyeje? weekend njema mpwa
 
Sijaelewa ni nani anafanya hivyo na kwa nani? me kwa fe au fe kwa me?
 
Mimi nimenyonya kidole mpaka secondary, ila nashukuru Mungu sikuwa napenda kushika kitu chochote. Ila ndo walivyo wanyonya vidole, nina rafiki yangu yeye anashika kitovu chake wakati wa kunyonya kidole na ana more than 35 years kwa sasa na ameolewa na mmewe bado anampenda saaana. Kuna watoto wa rafiki yangu; mbaya zaidi ni wa kiume wao wakinyonya vidole wanapenda kushika kitambaa chochote hata nepi. Kwa ufupi kidole ni nourma. Wakulaumiwa ni wazazi kwani inawezekana kabisa kumzuia mwanao asinyonye kidole ila akiwa mdogo akikua hata kwa fimbo ahachi. Mimi niliamua mwenyewe kuacha baada ya kuanza kuona aibu. Mwanangu nilipoona anaanza kunyonya nilimstopisha haraka saana maana vinaharibu meno pia.

But kama unampenda kidole ni kitu kidogo sana. Fikiri tena kama kweli unampenda. Kugombana nae kwa tabia ambayo kwangu nachukulia kama ni kalemaa si sawa. Kama humtaki achana nae hacha kutoa masharti unayojua hayatekelezeki. That is out of her control.
 
ungerusha hii mada kule jukwaa la wakubwa ungetatuliwa chap .
 
Nina mchumba wangu 25yrs old!..anapenda sana kunyonya kodole nakushika chuchu huku akiivutavuta!...sio siri tabia hii inanikeraa!..nimemuonya lkn wapi!!!..juzi kidogo tupate ajali eneo la rose garden kona ya tcu na gari kisa tulikua tunagombana kuhusu tabia hiyo...cha ajabu tumefika hm kaendelea tena na tabia hyo!!..daah nimechoka nisaidieni wana jf nifanyeje????

Mapenzi+kuongea na simu+kutendana+driving=ajali+kifo
 
anayenyonya kidole ni Ke au Me?

Ngoja nimchape huyu hapa aache, kumbe atakimbiwa na wachumba.
 
Jinsi jamaa alivyoandika sikuwa na cha kujiuliza nimekonkludi mtoa mada ni mwanaume. Ameandika kimfumo dume dume. Lol.
anayenyonya kidole ni Ke au Me?

Ngoja nimchape huyu hapa aache, kumbe atakimbiwa na wachumba.
 
Maana anasema"nimemuonya" wakati kidole chake na matiti yake; Lol. Au anashika matiti ya wenzake???
 
Back
Top Bottom