Mimi nimenyonya kidole mpaka secondary, ila nashukuru Mungu sikuwa napenda kushika kitu chochote. Ila ndo walivyo wanyonya vidole, nina rafiki yangu yeye anashika kitovu chake wakati wa kunyonya kidole na ana more than 35 years kwa sasa na ameolewa na mmewe bado anampenda saaana. Kuna watoto wa rafiki yangu; mbaya zaidi ni wa kiume wao wakinyonya vidole wanapenda kushika kitambaa chochote hata nepi. Kwa ufupi kidole ni nourma. Wakulaumiwa ni wazazi kwani inawezekana kabisa kumzuia mwanao asinyonye kidole ila akiwa mdogo akikua hata kwa fimbo ahachi. Mimi niliamua mwenyewe kuacha baada ya kuanza kuona aibu. Mwanangu nilipoona anaanza kunyonya nilimstopisha haraka saana maana vinaharibu meno pia.
But kama unampenda kidole ni kitu kidogo sana. Fikiri tena kama kweli unampenda. Kugombana nae kwa tabia ambayo kwangu nachukulia kama ni kalemaa si sawa. Kama humtaki achana nae hacha kutoa masharti unayojua hayatekelezeki. That is out of her control.