Anapenda sharobaro style

Anapenda sharobaro style

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,424
Reaction score
11,320
Binti mtaa wa 10 hivi toka hapa napoishi...mzuri na akili mkichwa si haba................Nimemuona mara kadhaa na kumtamani ingawa najua kidogokidogo naelekea kumpenda.

Hayo yote tisa, kumi anaonekana ni mtu anayehusudu vijana wenye lifestyle ya kisharobaro. Si kwamba ni malaya (angalau kwa uchunguzi wa awali) ila kutokana na maongezi ya hapa na pale, uvaaji wake, kuongea, muziki anaoupenda inaelekea ni mtu wa kuzimika na mwanaume wa aina hiyo.

Mimi ni kijana ingawa ni msikilizaji sana wa msondo, kupiga soga la kisiasa na mambo ya historia...bongofleva imenipitia kando kidogo. Uongeaji wangu wa kiutu-uzima japo naweza kuchomeka maneno machache ya "kimjini".

Sasa ombi wana MMU nipeni dondoo za kujibadilisha angalau kidogokidogo ili niwe na "swagger" za kisharobaro. Sitanii.

Wakatabahu
platozoom
 
Last edited by a moderator:
Anatakiwa kukupenda vile ulivyo,unapoteza confidence hivyo..haifai kwa mwanaume,sharobaro wa kuiga anakuaga boongee la mshaambaaaa....
 
jipange kumkichwa aisee, nawewe nenda naye stail ya kisharobaro like chai na lunch iwe steers, dine pawe lemon tree, gari japo usikose ka gaia. stori ziwe za best hitting bongo flevas, and movies. outing ziwe za kwenda cinema hall, beaches na beauty contests, angalau music shows zile zile za hitting shows na akae executive sites. wema sepetu banquet asikose mbona ukimpa uhakika wa hayo na mengine kama hayo hutomkosa?
 
Hata kujibadilisha for love sake......Jamani ni mangapi tunafanya kwa mnaowapenda.Hivi siwezi ku-scrifice mwonekano wangu? nishauri
 
Ni muhimu ukawa kama ulivyo, express your feelings kwake then uone kama atakubali nawe kama ulivyo, mkiwa pamoja huenda mkatengeneza bond na kila mmoja aka-pick japo vichache toka kwa mwenziye.
 
jipange kumkichwa aisee, nawewe nenda naye stail ya kisharobaro like chai na lunch iwe steers, dine pawe lemon tree, gari japo usikose ka gaia. stori ziwe za best hitting bongo flevas, and movies. outing ziwe za kwenda cinema hall, beaches na beauty contests, angalau music shows zile zile za hitting shows na akae executive sites. wema sepetu banquet asikose mbona ukimpa uhakika wa hayo na mengine kama hayo hutomkosa?

Siku moja nilijaribu kuchomeka jina la mbongo fleva anaitwa Ommy Dimpoz akaniuliza kama nina nyimbo yake mpya kwenye simu yangu kijasho kikanitoka.
 
Kifupi unaniambia niandae noti za kumimina!!!
 
Baki ulivyo anaweza akawa hivo ila moyoni au taste ya wanaume ikawa tofauti na alivyo na huwezi jua naye anakuonaje
 
Siku moja nilijaribu kuchomeka jina la mbongo fleva anaitwa Ommy Dimpoz akaniuliza kama nina nyimbo yake mpya kwenye simu yangu kijasho kikanitoka.

sasa hapo ndo ujue kuwa siyo stail yako mkuu, jipange upya.
 
Ni muhimu ukawa kama ulivyo, express your feelings kwake then uone kama atakubali nawe kama ulivyo, mkiwa pamoja huenda mkatengeneza bond na kila mmoja aka-pick japo vichache toka kwa mwenziye.

Nimeupenda ushauri wako. Tatizo naona kama nikiwa msharobaro itaongeza maksi zangu haraka sana........Hebu niambie nitawezaje ku-mix jinsi nilivyo sasa na usharobaro mpya
 
bora uwe hivyo hivyo,ukijitia ku pretend kuwa kama yeye,baadae utashindwa ku pretend,na mara utaona hamuendani,mara mtaishia kubwagana tu.kama anakupenda,ni vizuri akukubali kama ulivyo.
 
Unajua kisukari naona nachelewa na waroho wengi. Kubwa ni kwamba akiingia kwenye himaya yangu naweza kumbadilisha kabisa. Si haba nina ushawishi lakini nikishapata kwanza. Kabla nakuwa kama kondoo wa kafara
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin again....umening'ata na kunipulizia!

ma bro platozoom, nilikuwa najitahd sana kukuonyesha msisitizo juu ya aina ya mdada uliye mdondokea na pr yako. to me i would advised you to delay in wateever you want to do with her ili ujiassess vizuri zaid mane such type of wadada ni prob in a long run.hapa nakushauri as your sister na siyo ushabiki.
 
Roho inauma. Lakini ndiyo maana nilikwambia wakati ule nilichelewa kuzaliwa!
 
Back
Top Bottom