babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Hakijaniuma chohote hapo nimekujibu tu hapo,Hakuna kitu Kama hicho ngoja nitakupikia a yatakayijiri katika Uzi huo...ukweli umekuuma Babaa.
Ili uache upoyoyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakijaniuma chohote hapo nimekujibu tu hapo,Hakuna kitu Kama hicho ngoja nitakupikia a yatakayijiri katika Uzi huo...ukweli umekuuma Babaa.
Soma comments za wakenya ktk hii videoLet's comments hapa hata screenshots wacha longolongo
Soma" comments" toka nchi zote za AfricaLet's comments hapa hata screenshots wacha longolongo
Soma comments za wakenya ktk hii video
Soma" comments" toka nchi zote za Africa
Hahahaha, nimegundua huna "bundle" la kutazama video. Nintumie namba ya Simu yako nikutumie pesa ya " voucher" kwa M - Pesa.Weka screenshots wacha clickbaits bro.
Ile nyimbo ya Harmonize ya magufuli naona Harmonize anaiuza hadi kwenye skiza tunes ya Safaricom 😂😂😂Hahahaha, nimegundua huna "bundle" la kutazama video. Nintumie namba ya Simu yako nikutumie pesa ya " voucher" kwa M - Pesa.
Tatizo hamna uwezo wa kutazama video, mnaogopa "bundle" litakata, umasikini wenu msijaribu kutuambukiza, ninyi ni watu masikini sana, hata kuangalia Youtube ni shida.Umeambiwa uweke screenshots ama hio Ni technology ngumu kwa Danganyika kuitambua?[emoji24][emoji24]
Tatizo hamna uwezo wa kutazama video, mnaogopa "bundle" litakata, umasikini wenu msijaribu kutuambukiza, ninyi ni watu masikini sana, hata kuangalia Youtube ni shida.
0726659670Hahahaha, nimegundua huna "bundle" la kutazama video. Nintumie namba ya Simu yako nikutumie pesa ya " voucher" kwa M - Pesa.
0726659670
Huna bundle si utizame video??Weka screenshots wacha clickbaits bro.
Ni ushamba tu unamsumbua Jiwe.Kweli mkubwa yaani kasema (mke wangu unatuchangia ngapi?(mkewe kapewa mike kasema milioni moja.mume akase"ziteo sasa hivi mkabidhi kiranja"mke nae kugeuka tuu naona anatoa zipo kabisa kwenye bahasha na kuhesabu inaonyesha zilikuwa zishapangwa kabisa[emoji2][emoji2]
Ndio kawaida ya madikteta. Dikteta wetu Moi aligawa bunda za hela kila sehemu alipoenda na tulipogutuka miaka 24 ilikuwa imepita na uchumi ulikuwa umeporomoka. Kwasababu ya hii noti hapa.Hii noti ya 500 ambayo ilipewa jina la utani 'Jirongo' kwa heshima ya mwenyekiti wa vijana wa KANU, YK '92 ilichapishwa kwa wingi na Moi hadi ikashusha thamani ya KES. Cyrus Jirongo na viongozi wengine wa umoja wa vijana wa KANU walichukua noti hizi moja kwa moja kutoka benki kuu na magunia kwenye boot za gari zao. Tena usiku wa manane kama movie vile. Mungu ni mkubwa kwasababu mwishowe ulofa ulituisha sisi wakenya na tukamchinja jogoo. Jirani mnalo aisee, kama hamtajifunza kwa majirani. Endeleeni tu kukata viuno na kuimba nyimbo za kusifia na kukuza miungu watu.![]()
Ndio kawaida ya madikteta. Dikteta wetu Moi aligawa bunda za hela kila sehemu alipoenda na tulipogutuka miaka 24 ilikuwa imepita na uchumi ulikuwa umeporomoka. Kwasababu ya hii noti hapa.Hii noti ya 500 ambayo ilipewa jina la utani 'Jirongo' kwa heshima ya mwenyekiti wa vijana wa KANU, YK '92, ilichapishwa kwa wingi na Moi hadi ikashusha thamani ya KES. Cyrus Jirongo na viongozi wengine wa umoja wa vijana wa KANU walichukua noti hizi moja kwa moja kutoka benki kuu na magunia kwenye boot za gari zao. Tena usiku wa manane kama movie vile. Mungu ni mkubwa kwasababu mwishowe ulofa ulituisha sisi wakenya na tukamchinja jogoo. Majirani mnalo aisee, kama hamtajifunza kutoka kwa wenzenu. Endeleeni tu kukata viuno na kuimba nyimbo za kusifia na kukuza miungu watu.![]()
Dikteta ni dikteta tu, hata Moi pia alitangulia kwa kufanya makubwa chini ya kauli yake ya Nyayo. Mashamba ya majani ya Nyayo Tea Zones, mradi wa usafiri wa Nyayo Bus, miradi ya kuzuia mmomonyoko wa udongo na kuboresha ukulima, hadi kukawa na maziwa ya Nyayo, bure kwa wanafunzi wote nchini n.k. n.k. Ila kupenda kusifiwa na kutopenda kabisa kukashifiwa na kutupilia mbali utawala wa sheria na katiba ndio ilikuwa swag yake. Kama tu huyu mwenzake.Usimfananishe Magufuli na upupu.
Maana Magu kuna mageuz meng kayafanya na yanaonekana.
Maskini wa kutupwa huyo joto la jiwe hata chupi hawezi jinunulia. Mwaswast tuma hio screenshot.Mkuu akikutumia screenshot
Nyimbo enzi zile tuliimba "kwekwe shambani mwa nyayo na zilimwe"Ndio kawaida ya madikteta. Dikteta wetu Moi aligawa bunda za hela kila sehemu alipoenda na tulipogutuka miaka 24 ilikuwa imepita na uchumi ulikuwa umeporomoka. Kwasababu ya hii noti hapa.Hii noti ya 500 ambayo ilipewa jina la utani 'Jirongo' kwa heshima ya mwenyekiti wa vijana wa KANU, YK '92, ilichapishwa kwa wingi na Moi hadi ikashusha thamani ya KES. Cyrus Jirongo na viongozi wengine wa umoja wa vijana wa KANU walichukua noti hizi moja kwa moja kutoka benki kuu na magunia kwenye boot za gari zao. Tena usiku wa manane kama movie vile. Mungu ni mkubwa kwasababu mwishowe ulofa ulituisha sisi wakenya na tukamchinja jogoo. Majirani mnalo aisee, kama hamtajifunza kutoka kwa wenzenu. Endeleeni tu kukata viuno na kuimba nyimbo za kusifia na kukuza miungu watu.![]()