Anapopita Magufuli hamlali njaa

Anapopita Magufuli hamlali njaa

Eti!!! Kumbe ! Huyo ni Nyani ya Kike kuna jamaa alikuwa amamwita mwasiti mwqnamke mm nilidhani anamtania
Kumbe ni Female Monkey kama @janerose
Wakenya bana, kumbe wee ni binti!!?
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Du!! Sisi ni wakongwe ila atukujua kuwa huyu ni binti du!! Kuna mtz alikuwa anamwita mwasiti Mimi nilidhani anamtania sijui alijuaje au kwenye profile yake kaweka jinsia ? Usikute hata yule kaweka namba hapa tumtumie pesa ya MB ni Demu !?
Wakenya bana, kumbe wee ni binti!!?
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Usimfananishe Magufuli na ukumbafu.
Time will tell.
True true kuna huyu mkenya MK254 aliwai kushangaa humu akisema kwanini magufuli licha ya kuwafanyia kiburi mabeberu wananazidi kutaka kampatia mikopo na misahada alikuwa inamshangaza
 
Yani vile vile km magufuli kabisa...
Zama zile ukimpinga moi, watu wanakuchukia na kukuita majina ya ajabu km vile majirani wanavyofanya sai..
Mara we sio mzalendo,
Moi kibaraka wa wazungu au moi gani unamzungumzia
 
Yani vile vile km magufuli kabisa...
Zama zile ukimpinga moi, watu wanakuchukia na kukuita majina ya ajabu km vile majirani wanavyofanya sai..
Mara we sio mzalendo,
Soma " comments " chini ya hii video, ukiacha Nyerere na Mandela, ni rais gani mwengine hapa Africa aliyekubalika Africa nzima zaidi ya Magufuli?
 
Wakenya ni mskini hawana bando..
Tuwekee screen shots
Soma " comments " chini ya hii video, ukiacha Nyerere na Mandela, ni rais gani mwengine hapa Africa aliyekubalika Africa nzima zaidi ya Magufuli?
 
Weka screenshots wacha clickbaits bro.
.
Screenshot_20191012-090421.jpeg
Screenshot_20191012-090438.jpeg
 
Kwahiyo magufuli anaporomosha uchumi !!! Wewe jiulize kwanini wazungu wanaogopa kumsema vibaya na mikopo wanambembeleza kampatia licha ya kuwa bana kwenye madini na kukataa mashariti yao mfano kujenga Kwa bwawa la Umeme hadi mkenye mwenzenu MK254 aliwai kuuliza na kuleta Uzi akisema kwanini mabeberu wanamyeyekea magufuli licha ya kuwafanyia ukaidi hao mabeberu
Good question! Na pia wanazidi kumpandisha chart kwenye corruption fight na overall prudence in government spending! AfbB wamempa fedha za Dodoma ring road na Msalato Airport. Zaidi ya hapo serikali za Magufuli na Kagame wapo njiani kupewa over $2.5 bln fedha za ujenzi wa SGR Isaka-Kigali!
 
Nilikuuliza nikutumie kiasi gani ili uweze kupata bundle la kutumia wiki nzima?,
Number ya Simu ulipewa, Weka screenshot ya amount uliotuma😂😂😂 masikini wa CCM...Ama huna Kama kawaida Kama dawa Ni mdomo kubwa tu😭
 
Nilikuuliza nikutumie kiasi gani ili uweze kupata bundle la kutumia wiki nzima?,
Number ya Simu ulipewa, Weka screenshot ya amount uliotuma😂😂😂 masikini wa CCM...Ama huna Kama kawaida Kama dawa Ni mdomo kubwa tu😭 omba omba wewe.
 
Number ya Simu ulipewa, Weka screenshot ya amount uliotuma[emoji23][emoji23][emoji23] masikini wa CCM...Ama huna Kama kawaida Kama dawa Ni mdomo kubwa tu[emoji24] omba omba wewe.
Ile namba nimepiga amepokea bibi MZEE sana hajui kuzungumza kiswahili wa kizungu tumeshindwa kuelewana
 
Back
Top Bottom