Anasema amechoka kuvumilia, tufanye mapenzi kabla ya ndoa

Mmmh aisee au huna nguvu za kiume. Ingekua mwanamke ndio anasema hivi nisingeshangaa ila mwanaume[emoji15]
Kuna msichana ilikua hivi hivi honeymoon ndio anagundua mume wake hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Ikabid aende kanisani ndoa ikavunjwa
Duh hio ilikuwa kali aisee! Fedhea ya ajabu sana kidume ukishindwa kukamata network
 
Uko sawa tu mkuu.
Japo wengi watakudhihaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wee babe anakuomba game alafu unazingua? Yaani unalazimisha kuchapiwa mpenzi wako kizembe sana.

Una shida kwenye halmashauri ya dushe, na yeye demu ameshashtukia anataka ku test mitambo kama inashika 4g network au ni GPRS tu[emoji23][emoji1493][emoji1493]
 
Wadau wanamshbulia mwamba kwamba inawezekana hadindi. Ila mimi naomb nikuulize ndugu, huyo mwanamke ni bikra!??

Kama ni bikra sikushangai sana kusubiri mgegedo mpaka ndoa. Ila kama sio bikra aisee we jamaa upimwe akili, mwili na kila kitu kinachohisiana na mgegedo.
 
Haya mambo ya ndoa bwana,inawezekana mwenzio alishazoea hayo mambo kabla ya kukutana na wewe,sasa anaona unampa mateso tu kwa kusubiria siku ya tukio...
 
Mwamba shikilia hapo hapo. Trust me nothing good as ever come out of have pre marital sex.

Akishindwa basi huyo sio wife material achana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…