Cos101
JF-Expert Member
- Sep 16, 2020
- 446
- 1,021
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh aisee au huna nguvu za kiume. Ingekua mwanamke ndio anasema hivi nisingeshangaa ila mwanaume[emoji15]
Kuna msichana ilikua hivi hivi honeymoon ndio anagundua mume wake hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Ikabid aende kanisani ndoa ikavunjwa
Sio lazima iwe hivyo. Ni maamuzi tu.