Anasema amechoka kuvumilia, tufanye mapenzi kabla ya ndoa

Kusema "MIMI NI MIMI"
Then unamalizia kwa kuomba ushauri huo nao ni uduanzi
Moderator ndo hawaelewi, niliandika mimi ni ME, nikiwa na maana mwanaume, wao wame edit waakaona wanaelewa sana lugha labda nilidhamiria me ya kingerezaa, Moderator rekebisheni
 
Kitu gani kina wazuia kuoana hata leo?
 
Ulichozungumza ni sahihi kabisa, nayaona hayo yakija iutokea, naaiona dalili ya kutengana muda sio mrefu coz nikifanya nae sitakua na iman ya moyo na nisipofanya nae nitakua na wasiwasi nae pia
 
Huo moto usipozikwa utawasha mashamba ya jirani
 
Kama mmeamua kutofanya ni vema zaidi, ila kama mwanamke amewahi kuliwa basi lazima asumbuliwe na migenye umiza kama hyo, uamuzi ni wako.
 
Wew ni mwanaume uliyelelewa kwenye mazingira mabovu sana. Nyinyi ndio mnaotesekaga sana kwenye mapenz baadae mnaitwaga mazoba.

Nenda kamtafute demu wa kanisani mkuu
 
Usikute huyo mwanamke ameshastuka kama wewe usije ukawa "Mjigaru", na kama ni hivyo ajuwe mapema ili asijiingize kwenye ndoa hiyo!
 
Hili jamaaa gayπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaan kumchapa mashine mtoto mzuri mpaka uje uombe ushauriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nahisi kuna mahala pana tatzo ila linafichwa kwa kivuli cha ndoa.

Tuletee namba yake hapa huyo kuna huduma ya msingi sana anakosaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…