Anasema anatafuta dawa amnase huyu mwanaume

Sijaona kosa la mwanaume kwenye stori yako

Kimsingi hata mwanamke alikuwa na sababu zake ambazo kimsingi kwa upande wake zilikuwa ni za msingi wakati anakataa offer ya mwanaume
No. Upande wa mwanamke alijiona bado mdogo na anaestahili madogo wenzie. Hajui kwamba an older man has more stability, maturity and focus.

Na hapo sio kwamba amegundua kosa lake Mia kwa Mia, no. Anatafuta ganda la ndizi. And it's too late.

Anazidi kuharibu Mambo kwa kujidanganya waganga watamsaidia.

Anasahau that The Bible says, What God has brought together no man can lay asunder.
 
Appreciate u my dear member

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No. Upande wa mwanamke alijiona bado mdogo na anaestahili madogo wenzie. Hajui kwamba an older man has more stability, maturity and focus.

Umeangalia sababu yake ya kwanza...ipo ya pili ambayo ni ya msingi

Japo anachojaribu kufanya kwa sasa cha kwenda kwa mganga sio sawa lakini sababu za kumkataa sio mbaya
 
Umeangalia sababu yake ya kwanza...ipo ya pili ambayo ni ya msingi

Japo anachojaribu kufanya kwa sasa cha kwenda kwa mganga sio sawa lakini sababu za kumkataa sio mbaya
But tatizo liko pale pale.

The man is still older.

Na bado Ni family man.

So anatakaje?

Kumharibia ndoa?
 
But tatizo liko pale pale.

The man is still older.

Na bado Ni family man.

So anatakaje?

Kumharibia ndoa?

But bado Ni mume wa MTU so why anamtaka now?

Seemingly ilikuwa Ni kisingizio tu back then.

Hata agewise the man is even older now, why does she want to be with him?

Point yangu ni sababu aliyotaja mwanzo ambayo ya msingi ilikuwa kwasababu ni mume wa mtu

Kwa anayofanya sasa sioni kama ni sawa
 
Alikimbilia dushe la kijana mwenzake kwa sababu lina joto zaidi!
 
Mh! Kumbe mtu unawezakuwa unaendelea na mipango yako kumbe bila kujua umeendewa kwa Karumanzira?
 

Mbona kila MTU mnalaum huyo mdada, mm simlaumu huyo mdada kwa uamuzi wake uliopita bcoz back then alifuata hisia zake za kweli

Huyo mdada hampendi uyo mme wa mtu, Namlaumu sahivi anavomtafta Mme wa MTU aliemkataa, bcoz maisha ya kifedha yamemchapa, its like anajiuza in a different way Karucee
 

Lawama ipo pale pale. Same script same cast.
 
Mimi sijaelewaga sababu ya wanawake kulinga linga hivi huwa ni nini...Sababu mwingine unamfuata wote mpo single anakuchomolea nje anatafuta mwingine huko,Au anakukubalia kisha anawapanga wote wawili,ila yule mwenzangu anakuwa captain kiongozi,kiasi kwamba pale unapogundua ukweli na kumwambia unaambulia mitusi na michano then anakutema,hapo anakuongezea hasira za kupambana.Ila baadaye mtu huyuhuyu ananitafuta,na anapokuta nimeshajiattach pengine na mbaya zaidi ana mtoto atadai turudiane... Huwa najiuliza hivi huwa wanawaza kuwa kuna mwanaume mjinga kiasi hicho!!!! Nyie wadada acheni kulinga ovyo ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…