Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
No. Upande wa mwanamke alijiona bado mdogo na anaestahili madogo wenzie. Hajui kwamba an older man has more stability, maturity and focus.Sijaona kosa la mwanaume kwenye stori yako
Kimsingi hata mwanamke alikuwa na sababu zake ambazo kimsingi kwa upande wake zilikuwa ni za msingi wakati anakataa offer ya mwanaume
Na hapo sio kwamba amegundua kosa lake Mia kwa Mia, no. Anatafuta ganda la ndizi. And it's too late.
Anazidi kuharibu Mambo kwa kujidanganya waganga watamsaidia.
Anasahau that The Bible says, What God has brought together no man can lay asunder.