Anasema hatuwezi kufanya mapenzi mpaka nimuoe, nifanyeje?

Anasema hatuwezi kufanya mapenzi mpaka nimuoe, nifanyeje?

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,079
Reaction score
2,273
Kwema wakuu,

Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda.

Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa, nifanyeje?!

Pia soma:
 
Utulivu sheikh, madogo wa siku hizi mnafeli vingi sana ukiona mdada anakusumbua akili jua kbs we ndo huna akili
Screenshot_20240831-223045.png
 
Kwema wakuu
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda. Shida inakuja hataki nimnyandue anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa nifanyeje
Hiyo ni dalili tosha mpenzi wako ana mwanaume mwingine anayemtosheleza kwa sex hajakuelewa huyo pita hivi usiwekeze pesa hapo
 
Back
Top Bottom