Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Khaa!Mi ni kataa ndoa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaa!Mi ni kataa ndoa mkuu
Mwambie Moja Kwa Moja kua ,nmeamua kukuacha, Baki na K yako.Kwema wakuu
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda. Shida inakuja hataki nimnyandue anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa nifanyeje
Nenda kamshitaki kwa Waziri Mchengerwa waziri wa TAMISEMI, usikubali kutapeliwa.Kwema wakuu
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda. Shida inakuja hataki nimnyandue anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa nifanyeje
Umempata kwa malengo ya kuwa mke wako au kwaajili ya kumchezea mwili na muda wake? Kataa Zinaa oa kwa kadiri ya mafundisho ya Dini yako.Kwema wakuu,
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda.
Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa, nifanyeje?!
Hiyo ni dalili tosha mpenzi wako ana mwanaume mwingine anayemtosheleza kwa sex hajakuelewa huyo pita hivi usiwekeze pesa hapo
Umesomeka mkuuHiyo ni dalili tosha mpenzi wako ana mwanaume mwingine anayemtosheleza kwa sex hajakuelewa huyo pita hivi usiwekeze pesa hapo
Kweli mkuuWadada wote wangekuwa hivyo vidume tungenyooka, ndivyo inavyotakiwa.
Tatizo linaweza kuwa;
1. Unanyimwa wewe na yupo anakula na kusaza.
2. Unataka kula na kushiba, unawe mikono usepe..yeye anataka mtu rasmi kitu ambacho ni chema sana.
3. Unavumilia ukijua natunziwa nikija kuoa nikutane na barabara mpya, ooooh siku ya siku unaishia kujuta.
Uncertainties ni nyingi sana.
Sawa kiongoziMwambie Moja Kwa Moja kua ,nmeamua kukuacha, Baki na K yako.
Itakuwa kweliKwa kifupi tuu hupedwiii na huyo mwanamke
Ukweli mchungu huu, una nunua kwa Bei kubwa, afu wengine wali Shiba kwa chipsi yaiWadada wote wangekuwa hivyo vidume tungenyooka, ndivyo inavyotakiwa.
Tatizo linaweza kuwa;
1. Unanyimwa wewe na yupo anakula na kusaza.
2. Unataka kula na kushiba, unawe mikono usepe..yeye anataka mtu rasmi kitu ambacho ni chema sana.
3. Unavumilia ukijua natunziwa nikija kuoa nikutane na barabara mpya, ooooh siku ya siku unaishia kujuta.
Uncertainties ni nyingi sana.
Kwema wakuu,
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda.
Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa, nifanyeje?!
Pia soma:Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?
Nifanye Nini Nataka Kumuoa Lakini Bado Anawasiliana Na X Wake? Ntamani kujua zaidi hasa kusikia kwa wanawake, mimi ni kijana wa miaka 32 sijaoa ila nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwenye mahusiano kwa miaka minne sasa. Wakati nakutana na huyu Dada alikua ametoka kwenye ndoa yake, mwanaume...www.jamiiforums.com