Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Kama BK sawa vinginevyo pita kushoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanawake hawa kama wa Jf 😂😂😂 mwaka au miaka bila sex..kwanini umewaza hivi? si kila mwanamke anayekataa sex ana mwanaume mwingine, hivi unajua sex sio hitaji la muhimu kwa mtoto wa kike? unajua mwanamke anaweza kaa mwaka au miaka bila sex lakini sio mwanaume??
kwani wa JF si ndio hao tunakutana nao mtaani mkuu, mimi nishakutana na wanawake wa JF kama wawili, unaweza ukafuatilia comments humu ukajua mtu ndivyo alivyo kumbe sio, usiwaone kwamba ni vicheche chupi mkononiwanawake hawa kama wa Jf 😂😂😂 mwaka au miaka bila sex..
sijasema ni vicheche.. na hakuna mahala nimeandika vicheche.. na sio kwamba wote hawawezi kaa huo mda.. wapo wanaoweza kukaa na wapo wasio weza kukaa hata wikikwani wa JF si ndio hao tunakutana nao mtaani mkuu, mimi nishakutana na wanawake wa JF kama wawili, unaweza ukafuatilia comments humu ukajua mtu ndivyo alivyo kumbe sio, usiwaone kwamba ni vicheche chupi mkononi
kwenye betting hii tunaita handcap,Na ni wanaume wachache sana ambao wako tayari kusubiria ndoa ndio aichape
Wanawake wanapitia kipindi kigumu sana, kwa sababu mwanamke akimbania mwanaume
Mwanaume huyohuyo atamtafuta mwanamke mwingine ambaye atampea kabla ya ndoa na kuna uwezekano wa kufanya naye maisha
Huyu manzi wa no sex until marriage ataendelea kusubiria sana
Ndio maana wanawake wengi wanajaribu kumpea kwanza halafu aone uelekeo wa mwanaume jamaa akihit na kurun anajaribu kwa mwingine na mwingine kumbe ndio anafanywa malaya mdogo mdogo mpaka anakubuu
Mwanaume mwenye kiherehere ambaye atamfanya huyo mwanamke mke atakuwa ameoa malaya
Ndio maana ndoa za siku hizi zimekuwa fekero sana
Basi achana nae sio mke huyo, saivi unachapiwa na bado ndoani utachapiwa.Aitoe wapi?.
Oa acha juhudi za kutaka kuhadaa.Kwema wakuu,
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda.
Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa, nifanyeje?!
Pia soma:Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?
Nifanye Nini Nataka Kumuoa Lakini Bado Anawasiliana Na X Wake? Ntamani kujua zaidi hasa kusikia kwa wanawake, mimi ni kijana wa miaka 32 sijaoa ila nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwenye mahusiano kwa miaka minne sasa. Wakati nakutana na huyu Dada alikua ametoka kwenye ndoa yake, mwanaume...www.jamiiforums.com
🤣🤣🤣imagine huyo mwanaume aliyekubali kutulia nae akipata file lake......si ajabu nae akaghairi
Nakazia, akikataa penz akatae na kuhudumiwa huyo kenge mmoja.Usimpe hela mpaka utakapo muoa, usimpe hata shingtano