Anasema hatuwezi kufanya mapenzi mpaka nimuoe, nifanyeje?

Anasema hatuwezi kufanya mapenzi mpaka nimuoe, nifanyeje?

wanawake hawa kama wa Jf 😂😂😂 mwaka au miaka bila sex..
kwani wa JF si ndio hao tunakutana nao mtaani mkuu, mimi nishakutana na wanawake wa JF kama wawili, unaweza ukafuatilia comments humu ukajua mtu ndivyo alivyo kumbe sio, usiwaone kwamba ni vicheche chupi mkononi
 
kwani wa JF si ndio hao tunakutana nao mtaani mkuu, mimi nishakutana na wanawake wa JF kama wawili, unaweza ukafuatilia comments humu ukajua mtu ndivyo alivyo kumbe sio, usiwaone kwamba ni vicheche chupi mkononi
sijasema ni vicheche.. na hakuna mahala nimeandika vicheche.. na sio kwamba wote hawawezi kaa huo mda.. wapo wanaoweza kukaa na wapo wasio weza kukaa hata wiki
 
Na ni wanaume wachache sana ambao wako tayari kusubiria ndoa ndio aichape

Wanawake wanapitia kipindi kigumu sana, kwa sababu mwanamke akimbania mwanaume

Mwanaume huyohuyo atamtafuta mwanamke mwingine ambaye atampea kabla ya ndoa na kuna uwezekano wa kufanya naye maisha

Huyu manzi wa no sex until marriage ataendelea kusubiria sana

Ndio maana wanawake wengi wanajaribu kumpea kwanza halafu aone uelekeo wa mwanaume jamaa akihit na kurun anajaribu kwa mwingine na mwingine kumbe ndio anafanywa malaya mdogo mdogo mpaka anakubuu

Mwanaume mwenye kiherehere ambaye atamfanya huyo mwanamke mke atakuwa ameoa malaya

Ndio maana ndoa za siku hizi zimekuwa fekero sana
kwenye betting hii tunaita handcap,
mwanamke yuko kwenye disadvantage sana eneo hili.......

lakini, ni bora anaebana mpk ndoa kuliko anaetoa kila akiombwa, maana huyu wa kutoa by the moment anapata mtu wa kutulia nae, mileage itakua inasoma 10+ kama hakua makini, imagine huyo mwanaume aliyekubali kutulia nae akipata file lake......si ajabu nae akaghairi
 
Sawa wanangu nimewaelewa kuanzia sasa naachana nae
 
Aitoe wapi?.
Basi achana nae sio mke huyo, saivi unachapiwa na bado ndoani utachapiwa.

Katumia mgongo wa ndoa ili umuoe atulie maana kashaona dalili za kuolewa amna tena, kutokana na past yake.

Usikubali kataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Kwema wakuu,

Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda.

Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa, nifanyeje?!

Pia soma:
Oa acha juhudi za kutaka kuhadaa.
 
Sasa si tufanyeje,mod muwe mnaangalia mada za kipuuzi km hizi.
Ukinyimwa papuchi gonga mche wa Sabuni lala.
Uone km utasumbuliwa
 
Back
Top Bottom