Anasema hatuwezi kufanya mapenzi mpaka nimuoe, nifanyeje?

Kwema wakuu
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda. Shida inakuja hataki nimnyandue anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa nifanyeje
Mwambie Moja Kwa Moja kua ,nmeamua kukuacha, Baki na K yako.
 
Kwema wakuu
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda. Shida inakuja hataki nimnyandue anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa nifanyeje
Nenda kamshitaki kwa Waziri Mchengerwa waziri wa TAMISEMI, usikubali kutapeliwa.
 
Wadada wote wangekuwa hivyo vidume tungenyooka, ndivyo inavyotakiwa.

Tatizo linaweza kuwa;
1. Unanyimwa wewe na yupo anakula na kusaza.
2. Unataka kula na kushiba, unawe mikono usepe..yeye anataka mtu rasmi kitu ambacho ni chema sana.
3. Unavumilia ukijua natunziwa nikija kuoa nikutane na barabara mpya, ooooh siku ya siku unaishia kujuta.

Uncertainties ni nyingi sana.
 
Kwema wakuu,

Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda.

Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa, nifanyeje?!
Umempata kwa malengo ya kuwa mke wako au kwaajili ya kumchezea mwili na muda wake? Kataa Zinaa oa kwa kadiri ya mafundisho ya Dini yako.
 
Wadada wote wangekuwa hivyo vidume tungenyooka, ndivyo inavyotakiwa.

Tatizo linaweza kuwa;
1. Unanyimwa wewe na yupo anakula na kusaza.
2. Unataka kula na kushiba, unawe mikono usepe..yeye anataka mtu rasmi kitu ambacho ni chema sana.
3. Unavumilia ukijua natunziwa nikija kuoa nikutane na barabara mpya, ooooh siku ya siku unaishia kujuta.

Uncertainties ni nyingi sana.
Kweli mkuu
 
Ukweli mchungu huu, una nunua kwa Bei kubwa, afu wengine wali Shiba kwa chipsi yai
 
Eti msitombane mpaka ndoa!

Cha kushangaza hii kauli inatolewa na mwanamke ambaye sio bikra na kuna uwezekano bikra zote 2 hana

Hakuna shido no money mpaka marriage

Ila mwanetu jitathmini sana wanawake huwa wanawaambia hiyo kauli SIMPS huwezi kukuta anamwambia hivyo ALPHA man
 
Kama una nia njema naye harakisha mchakato wa kumuoa na umuoe....Mwenyezi Mungu hapendezwi na uzinzi!
 
Muulize kua yeye ni bikira,kama sio,mteme mazima
Kwema wakuu,

Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda.

Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa, nifanyeje?!

Pia soma:
 
Tuongee kiume sasa mwanetu

Power ya mwanamke iko kwenye sex kukupa au kukunyima sex

Ukitaka mwanamke aanze kukutawala anza kuishobokea hiyo K used anayomiliki

Ukitaka uumfanye awe powerless na wewe mpotezee usimcall wala kumtext na hata akikucheki mkaushie mazima

Duniani kuna wanawake bilioni 4 she ain't special at all

Learn or perish
 
Back
Top Bottom