chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Fuata alichokuambia au wewe ulitaka ufanyejeKwema wakuu
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda. Shida inakuja hataki nimnyandue anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa nifanyeje
Hilo labda kwa baasaeLengo lako ni kumwoa au kumnanilii?
Sawa mkuuKama hataki usimlazimishe.
No means no.
Nitafuata mkuuFuata alichokuambia au wewe ulitaka ufanyeje
Ndo nachofikiria na mimikuna bwege linamtafuna na halibakizi chochote
Mpeleke policeKwema wakuu
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda. Shida inakuja hataki nimnyandue anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa nifanyeje
Sawa mkuuMko kwenye mitizamo tofauti,
Yeye anataka mume wakati wewe unataka malaya.
Hamuwezi kuivana.
Sawa mkuuSaa hizi ameshajua nia yako ni kupita tu.
Swali la msingi kabisaLengo lako ni kumwoa au kumnanilii?
Mi ni kataa ndoa mkuuSwali la msingi kabisa
Hiyo ni dalili tosha mpenzi wako ana mwanaume mwingine anayemtosheleza kwa sex hajakuelewa huyo pita hivi usiwekeze pesa hapoKwema wakuu