Mpe tunda weweWazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula afuu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee
Kwanza, muombe akuelekeze kuandika kwa kufuata kanuni za uandishi. Pili, kuhusu ulaji wa matunda, tafuta matunda mengine kwa bei rahisi. Sante kalesa!Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula afuu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee
1.Ulishawahi kuona wapi mtu anajitawaza kwanza afu ndo anaenda toilet kushusha vitu??Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula afuu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee
Unataka umle au umchezee?Tulitumia pikipiki tulikula samaki bich koko bro
kaka mkubwa pole, kama aliaga anaenda beach imeisha hiyo1. Beach mlienda kwa kutumia usafiri gani?
2. Mlienda beach ya wapi?
3. Mlikula nini huko?
4. Mlikaa hadi saa ngapi?
5. Ulimpa hela ya usumbufu?
Muweke wazi kua huwezi kuendelea kuudumia Kama hatoi kitobo.Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda.
Yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula halafu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee