Anasema hawezi toa tunda eti nitakula halafu nisepe na huduma anataka

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda.

Yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula halafu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee
 
Huyo kwenye display ni wewe?

Na mindevu yote hiyo unauliza utumbo huu?
 
Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula afuu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee
Mpe tunda wewe
 
Kwanza, muombe akuelekeze kuandika kwa kufuata kanuni za uandishi. Pili, kuhusu ulaji wa matunda, tafuta matunda mengine kwa bei rahisi. Sante kalesa!
 
Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula afuu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee
1.Ulishawahi kuona wapi mtu anajitawaza kwanza afu ndo anaenda toilet kushusha vitu??

(brother, kaka si Kila kitu inahitaji ushauri Ebu ipime akili yako uwezo wa kukabili mambo madogo madogo kama hayo)

Nikupe kisa (kuna mtoto😂Baada ya kufikisha miaka 14 ghafla alishangaa ameota nywele sehemu za siri moja kwa moja alikimbia kwa baba akamwambia "baba wachawi wameniroga nimeota nywele sehemu za siri" yule baba akamjibu "NDO UKUBWA HUO Mwanangu"
 
1. Beach mlienda kwa kutumia usafiri gani?

2. Mlienda beach ya wapi?

3. Mlikula nini huko?

4. Mlikaa hadi saa ngapi?

5. Ulimpa hela ya usumbufu?
Tulitumia pikipiki tulikula samaki bich koko bro
 
Sina cha kumshauri mleta uzi, Yeye lolote atakalofanya ni sawa tu. Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru Ujinga wake.
 
Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda.

Yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula halafu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee
Muweke wazi kua huwezi kuendelea kuudumia Kama hatoi kitobo.

Watakuja jamaa hapa wale wa CHUNGA KIBUNDA CHAKO wakiongozwa na dronedrake.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
yanini malumbano,
yanini ni maneno,
najiweka pembeni naepusha msongamano,
bora nitulie,
ningoje changu namie,
mola anijalie,
haya yasijirudie.
 
Back
Top Bottom