PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 410
- 1,118
Bikra bado ipo?Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda.
Yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula halafu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee