Anasema hawezi toa tunda eti nitakula halafu nisepe na huduma anataka

Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda.

Yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula halafu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee
Bikra bado ipo?
 
Michezo hiyo....
1002306758.jpg
 
Mambo mazuri hayaitaji haraka,
Mvumilie bikra utakua unakula pekeyako sku za usoni
 
Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda.

Yaani yeye anachosema hawezi toa tunda eti nitakula halafu nisepe sasa na huduma anatak yaaan tunda kutoa yeye hatak ila huduma anatak sasa nifanyajee
Wauuzi sana hawa madem
 
Back
Top Bottom