Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
Katika hali isiyo ya kawaida, nimejikuta nina maswali mengi sana ambayo nakosa majibu mpaka dakika hii na kila ninayemuadithia anabakia kucheka tu.
Leo jioni nikiwa natazama mpira huku nachezea simu yangu, mara ukaingia ujumbe wa WhatsApp, kutazama namba ngeni (sijaihifadhi). kufungua nitazame nimetumiwa nini na hii namba ngeni, nikakuta picha mbili ambazo nimetumiwa kwa mfumo wa 'document'. Picha zilikuwa za kijana wa kiume, kwa vile jamaa simjui ikabidi kwanza nimtumie ujumbe, "Oi niaje chief?"
jibu alilonipa, "Nipost kesho birthday yangu"
Aah, tatizo siyo 'kukupost', nikamjibu lakini mbona mimi sikujui mkuu? Akanijibu, hata mimi sikujui ila nipost tu.🙄🙄🙄🙄
Sasa hapa waungwana nimebakia na maswali, huyu jamaa ni nani na kwanini kanitumia picha?
Halafu mtu 'akishakupost' 'Birthday' yako ndiyo unapata kitu gani au unaongeza kitu gani?