ANASEMA: Kesho 'Birthday' yangu 'nipost' basi

sikia, save namba vizuri kisha ingia setting ya privacy upande wa status mseti yeye tu aione status yako, kisha mpost alafu baada ya masaa 24 rudisha setting za status waone watu wote posts mpya utazoziweka hewani.
 
acha nifanye hivyo mkuu
sikia, save namba vizuri kisha ingia setting ya privacy upande wa status mseti yeye tu aione status yako, kisha mpost alafu baada ya masaa 24 rudisha setting za status waone watu wote posts mpya utazoziweka hewani.
 
Katika hali isiyo ya kawaids nimejikuta nina maswali mengi sana ambayo nakosa majibu mpaka dakika hii na kila ninae muadithia anabakia kucheka tu.

leo jioni nikiwa natazama mpila . huku nachezea simu yangu.

mara ikaingia text ya whatsapp kutazama namba ngeni ( Sijazisave). kifungua nitazame nimetumiwa nini na hii namba ngeni.

kufungua nikakuta picha mbili ambazo nimetumiwa kwa mfumo wa document. picha zilikuwa za kijana wa kiume .kwa vile jamaa simjui ikabidi kwanza nimtumie text " Oi niaje chief"

jibu alilonipa " Nipost kesho birthday yangu"

aaaah tatizo sio kukuposy nikamjibu lakini mbona mimi sikujui mkuu .

akanijibu hata mimi sikujui ila nipost tu.🙄🙄🙄🙄

Sasa hapa waungwana nimebakia na maswali huyu jamaa ni nani ?

na kwanini kanitumia picha ?

alafu mtu akishakupost Birthday yako ndo unapata kitu gani au unaongeza kitu gani ?
18Nov yangu mie💃💃🎉🎉🎊🎊🎊🎊
 
Tuma screenshot

Screenshot_20221116-205315~2.png
 
Members wengi waliojoin jf miaka ya hivi karibuni wanastory za kuchekesha sana
😁😁😁 kweli ila useriouz sana haukfny uonekane ww ni mtu anayejielewa sana. kwenye jukwaa la mahusiano na urafiki ach tupost yale ambay tunayoyaish kwenye jukwaa la siasa na great thinker acha kuandik kinachoitajika kule tusichanganye madawa
 
Kama kumpost hakukupunguzii chochote kwenye maisha yako basi mpost, huwezi jua labda furaha yake ni kupostiwa[emoji3578]
 
Katika hali isiyo ya kawaids nimejikuta nina maswali mengi sana ambayo nakosa majibu mpaka dakika hii na kila ninae muadithia anabakia kucheka tu.

leo jioni nikiwa natazama mpila . huku nachezea simu yangu.

mara ikaingia text ya whatsapp kutazama namba ngeni ( Sijazisave). kifungua nitazame nimetumiwa nini na hii namba ngeni.

kufungua nikakuta picha mbili ambazo nimetumiwa kwa mfumo wa document. picha zilikuwa za kijana wa kiume .kwa vile jamaa simjui ikabidi kwanza nimtumie text " Oi niaje chief"

jibu alilonipa " Nipost kesho birthday yangu"

aaaah tatizo sio kukuposy nikamjibu lakini mbona mimi sikujui mkuu .

akanijibu hata mimi sikujui ila nipost tu.🙄🙄🙄🙄

Sasa hapa waungwana nimebakia na maswali huyu jamaa ni nani ?

na kwanini kanitumia picha ?

alafu mtu akishakupost Birthday yako ndo unapata kitu gani au unaongeza kitu gani ?
One Man down
 
Back
Top Bottom