Anasema mpeane ”break time“ ina-make sense kweli?

Iyo break ya siku Tano ulivolimwa block ndo alikuwa kasafiri mwana ka import au anajivinjari..na alitumia mbinu hiyo usimsumbue ...

Tafuta mchongo mdogo wangu hayo mapenz ya kutoka chuo haya apply hata kidogo kitaa...

[emoji120][emoji120]
 
Shida ni hela hapo. Endelea kutafuta maisha. Tumia hiyo dharau kama chachu na funzo kuwa mwanamke hakupendi wewe ila anapenda anachopata kwako ambacho kinafurahisha nafsi yake.

Anyways. Inauma sana pale mwanamke anapojitoa ufahamu nje kukuacha kwa sababu ambazo nje ya uwezo wako. Piga moyo konde msemee kwa MUNGU kisha piga moyo konde na undelee kujitafutia maisha. Ila akirudi usije ukampokea huyo sio mtu mzuri kwako.
 

[emoji120][emoji120]
 
Sikiliza wimbo wa Justin Bieber -that should be me. verse ya pili utaelewa nn anachomaanisha huyo mwenzako na ww utajikuta yanakutokea
 
Sikiliza wimbo wa Justin Bieber -that should be me. verse ya pili utaelewa nn anachomaanisha huyo mwenzako na ww utajikuta yanakutokea

Aisee sio verse ya pili tuu...yan ni mwimbo mzima kama kaniimbia mimi asee duuh [emoji849][emoji849]kumbe hii scenario inawakuta wengi tuu
 
Halafu jf wanaoongoza kulalamikia mapenzi ni wanaume.Jamani tatizo wengine hamjiongezi.You do not know how to treat a woman.
 
Utafute hela kwa ajiri ya nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…