Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, kachoka kuact au haoni uelekeo. Hata mashuleni kuna break time.Mfano mwanamke wako anakuambia msiwasiliane kwa muda, anasema mpeane” break time “ ina make sense kweli?
Iyo break ya siku Tano ulivolimwa block ndo alikuwa kasafiri mwana ka import au anajivinjari..na alitumia mbinu hiyo usimsumbue ...
Tafuta mchongo mdogo wangu hayo mapenz ya kutoka chuo haya apply hata kidogo kitaa...
Tuishi nao kwa akiliAisee hawa viumbe duu [emoji119][emoji119]
Shida ni hela hapo. Endelea kutafuta maisha. Tumia hiyo dharau kama chachu na funzo kuwa mwanamke hakupendi wewe ila anapenda anachopata kwako ambacho kinafurahisha nafsi yake.Yaan ni kwamba tulikua wapenz since tupo chuo for 3 year ila naona baada ya kua kitaa kwa takriban 1 year bila mchongo wowote naona alianza kubadirika taratibu ananijibu short short kwenye chatings afu amekua majibu yake ni ya command...sasa last week ndio aliniambia twende break time,na nkala block kama siku tano hivi,baada ya kumuuliza reason za kuniblock akaniukiza “ kwani lazima niwe nampigia simu mara kwa mara..?? Yan anajibu majibu makali sana
Shida ni hela hapo. Endelea kutafuta maisha. Tumia hiyo dharau kama chachu na funzo kuwa mwanamke hakupendi wewe ila anapenda anachopata kwako ambacho kinafurahisha nafsi yake.
Anyways. Inauma sana pale mwanamke anapojitoa ufahamu nje kukuacha kwa sababu ambazo nje ya uwezo wako. Piga moyo konde msemee kwa MUNGU kisha piga moyo konde na undelee kujitafutia maisha. Ila akirudi usije ukampokea huyo sio mtu mzuri kwako.
Sikiliza wimbo wa Justin Bieber -that should be me. verse ya pili utaelewa nn anachomaanisha huyo mwenzako na ww utajikuta yanakutokea
Pole sana ndio maisha ayoAisee sio verse ya pili tuu...yan ni mwimbo mzima kama kaniimbia mimi asee duuh [emoji849][emoji849]kumbe hii scenario inawakuta wengi tuu
Mnafanya mapenzi mara ngap kwa wiki ?Mfano mwanamke wako anakuambia msiwasiliane kwa muda, anasema mpeane” break time “ ina make sense kweli?
Haya njoo na uzi wa how to treat a woman??Halafu jf wanaoongoza kulalamikia mapenzi ni wanaume.Jamani tatizo wengine hamjiongezi.You do not know how to treat a woman.
Google tu mpenziHaya njoo na uzi wa how to treat a woman??
Utafute hela kwa ajiri ya nini sasa?Ifike pahala tujifunze kuachana na habari za mapenzi tujikite kwenye kutafuta hela tu na kufocus kwenye malengo mengine ya kimaisha!
Yani mtu jiwekee malengo makubwa na plans za kibabe za kutoboa kimaisha zitakazo kuchallenge katika utekelezaji wake halafu upuuzi wa kuitwa mapenzi tupa kule!!
Sema sijui kwanini inakuwa ngumu Sana kui tune akili iwe katika mfumo huo!
Mwanamle akikwambia mpeane Space, mpe space kweli kweli mpaka ajute kukufahamu,Mfano mwanamke wako anakuambia msiwasiliane kwa muda, anasema mpeane” break time “ ina make sense kweli?
Aha nahitaji nipate maelez kutoka kwako Dear, au nitmie Pm apoGoogle tu mpenzi