Anasema "Nakupenda kama kaka yangu", nikimuita tukutane anakuja and returns my calls. Shida ni nini?

Mwanaume anatakiwa ku-force kila kitu? Ukipata kesi ya ubakaji itakuwa kesi ya nani? si inaangukia kwako kwa asilimia zote 😂😂😂
ha ha ha ubakaji tena kwa wanawake hawa hawa tunaowajua???? wewe huyoo unaemtongoza usikute yuko form one. kuna miaka 30 jela hao wanafunzi wacha walane wao kwa wao.
 
kwakuwa ananichukulia kama kaka yake.
Mwanamke kukuambia hivi ni dharau kubwa sana, bora anayepigwa kibuti direct

Umewekwa friendzone anakutumia ili apate attention yaani wewe dogo utafanywa a shoulder to cry on akishazinguliwa na mabwana zake huko

Fala wewe acha u-simp
 
Nisiwachoshe ma GT wa Jf.

Heading ipo clear, kuna binti fulani nilimtongoza kama miezi miwili iliyopita, aliniambia atanifikiria na baada ya siku mbili aliniambia hawezi kuwa na mahusiano na mimi kwakuwa ananichukulia kama kaka yake.

Nikaona labda ni namna ya kupotezeana muda nikaendelea na mambo yangu. Siku moja alinitumia meseji akiuliza nikiwa naendeleaje, nilimjibu tu kikawaida kwakuwa hata mimi nilijifunza kumfuta moyoni lakini nikaona ana entertain ku-flirt na mimi wakati anadai ananichukulia kama kaka yake (Yaani mtu wa heshima ambaye hawezi anzisha naye mahusiano).

Siku zimeenda, siku ya leo nimekutana nae tena. Baada ya salamu alinipa weird look, kila nilipomuangalia na kuona ile ilikuwa trick ya ku-flirt kwa njia ya macho na niliona upumbavu kushikilia vitu visivyoshikika nikaagana nae na kuondoka.

Shida inakuwa nini kwa ke, ina maana na wao wana-enjoy ku-flirt na kuwa mislead wanaume wakijua hawawezi kuwa nao kimahusiano? It ' s disgusting and mean!
Nyuzi kama hizi za watoto ndio zilifanya nipigwe ban ya maisha 2016

Pumbavu
 
Aisee una tatizo gani mangi,??
 
Punguza ndoto za Alinacha. Ondoa hizo imaginary feelings. Owa utulize mzuka.
 
Tumsaidie mshkaji hapa. Sababu wanawake huwa wanamaanisha tofauti wakiongea.
 
Kumbuka wiki ijayo ni Xmass. Sasa jitusue wakupune vishilingi vyako.

Utafanywa mpenzi wa muda kwa ajili ya noeli na usiambulie hata kushika kalio mwisho wa siku urudishwe kwenye ukaka.
 
Back
Top Bottom