Anasema "Nakupenda kama kaka yangu", nikimuita tukutane anakuja and returns my calls. Shida ni nini?

Mwanaume anatakiwa ku-force kila kitu? Ukipata kesi ya ubakaji itakuwa kesi ya nani? si inaangukia kwako kwa asilimia zote 😂😂😂
ha ha ha ubakaji tena kwa wanawake hawa hawa tunaowajua???? wewe huyoo unaemtongoza usikute yuko form one. kuna miaka 30 jela hao wanafunzi wacha walane wao kwa wao.
 
kwakuwa ananichukulia kama kaka yake.
Mwanamke kukuambia hivi ni dharau kubwa sana, bora anayepigwa kibuti direct

Umewekwa friendzone anakutumia ili apate attention yaani wewe dogo utafanywa a shoulder to cry on akishazinguliwa na mabwana zake huko

Fala wewe acha u-simp
 
Nyuzi kama hizi za watoto ndio zilifanya nipigwe ban ya maisha 2016

Pumbavu
 
Nipe namba yake niongee naye inaonekana bado hana maamuzi juu yako.
 
Aisee una tatizo gani mangi,??
 
Punguza ndoto za Alinacha. Ondoa hizo imaginary feelings. Owa utulize mzuka.
 
Tumsaidie mshkaji hapa. Sababu wanawake huwa wanamaanisha tofauti wakiongea.
 
Kumbuka wiki ijayo ni Xmass. Sasa jitusue wakupune vishilingi vyako.

Utafanywa mpenzi wa muda kwa ajili ya noeli na usiambulie hata kushika kalio mwisho wa siku urudishwe kwenye ukaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…