Anasema simpendi kisa ninamiliki bunduki

Anza na Waliokupa kibali, waambie mkeo hajapenda walichofanya na hujui ufanyaje.
 
Mke si wa kumsikiliza kwa kila kitu ndugu yangu,mwambie usalama wako ni muhimu zaidi

Mwambie naomba leo iwe mwisho kulizungumzia hili swala tena

Utanipa mrejesho
 
Reactions: Tsh
Asee kama unaandika hivi utamua kweli
 
Kuna mambo hayana husiani san na mapenz bali na maisha ya utafutaji , mkuu milik chuma ili akamwambie pia mchepuko wake waachane
 
Kama hata hujitambui wewe miaka 40 ni mzee ,hiyo silaha kweli utaweza kuimiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…