- Thread starter
- #21
Mmh sawa asante kwa ushauriChagua moja ama kumiliki bunduki au kumiliki mke msaliti vinginevyo yatakukuta makubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh sawa asante kwa ushauriChagua moja ama kumiliki bunduki au kumiliki mke msaliti vinginevyo yatakukuta makubwa.
Asante kwa ushauri nitajufunzaJifunze kwanza kuandika
Nimeipenda hiiKisichokuua kitakukomaxa. Mkeo ana siri moyoni....anajua anytime kitawaka. Nakushaur ongeza bunduki ya tatu.
Ngoja nikifanyie kaziShituka mkuu, anahisi ipo siku atapigwa chuma yeye akikamatwa anachepuka
Asee kama unaandika hivi utamua kweliNdugu zangu habari, mm ni kijana wa almost 40 nipo katika ndoa kwa takriban miaka zaidi ya nane na tuna watoto kadhaa na mke wangu.
Kutokana na aina ya biashara zangu za safar zangu ilinilazimu nitafute lesen ya kumiliki BUNDUKI nikapata lesenu zaid ya moja.
Mke wangu kwakel huwa hapend hata mabunduki kila siku ananimbia hayaoendu na niachabe nayo, kila napojaribu kumwambia umuhomu wake kwetu anasema kama simsikilizi na SIMPENDI.
Nature yangu sio mkorofi Wala sijawai hata siku moja kuimisuse, naombeni ushauri nifanye nini.
CCM ndio wanataka watu kama haoHizo fomu ulizijazaje mkuu kwa uandishi wa aina hiyo