Anasema simpendi kisa ninamiliki bunduki

Anasema simpendi kisa ninamiliki bunduki

Anza na Waliokupa kibali, waambie mkeo hajapenda walichofanya na hujui ufanyaje.
 
Mke si wa kumsikiliza kwa kila kitu ndugu yangu,mwambie usalama wako ni muhimu zaidi

Mwambie naomba leo iwe mwisho kulizungumzia hili swala tena

Utanipa mrejesho
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ndugu zangu habari, mm ni kijana wa almost 40 nipo katika ndoa kwa takriban miaka zaidi ya nane na tuna watoto kadhaa na mke wangu.

Kutokana na aina ya biashara zangu za safar zangu ilinilazimu nitafute lesen ya kumiliki BUNDUKI nikapata lesenu zaid ya moja.

Mke wangu kwakel huwa hapend hata mabunduki kila siku ananimbia hayaoendu na niachabe nayo, kila napojaribu kumwambia umuhomu wake kwetu anasema kama simsikilizi na SIMPENDI.

Nature yangu sio mkorofi Wala sijawai hata siku moja kuimisuse, naombeni ushauri nifanye nini.
Asee kama unaandika hivi utamua kweli
 
Kuna mambo hayana husiani san na mapenz bali na maisha ya utafutaji , mkuu milik chuma ili akamwambie pia mchepuko wake waachane
 
Kama hata hujitambui wewe miaka 40 ni mzee ,hiyo silaha kweli utaweza kuimiliki
 
Back
Top Bottom