Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Kijana David Ruya mkazi wa Tunduru Mjini – Ruvuma anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku.
Baada ya kukamatwa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 alikana kuingiliwa kimwili na mtuhumiwa huyo, lakini baada ya vipimo ilibainika kuwa walisema uongo huku simu waliyokutwa nayo ikigundulika kuwa na picha mbalimbali walizorekodi wakiwa chumbani.