rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Hiyo kazi ya polisi kuweka mtego na kumshika mtuhumiwa hakukuwa na haja ya mkuu wa wilaya kwenda kutafuta cheap politics hizoo wakati wilaya ina matatizo kibao...Ulitaka aje kukufumania wewe? Wewe majukumu ya mkuu wa wilaya unayajua?
Akifanya kazi za karibu na jamii mnaponda, asipofanya mnaponda. Wabongo walalamishi sana