Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Mtoto below 15 umpe 30k mmmh hatakama anaishi geto mwenyew majiran watajua hio nipesa mingi atanunua nin ambacho wazaz wasijue mana mpaka chupi mama ndo mnunuaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda zobaaa, mwingne anapewa 30k na hastukiwiiii.