Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Yani hawa wameforce fumanziii haya maisha acha tuu..ila mwana hana kitu mbona ni geto tu la kishkajii
 
Ina maana dada mtu alipofika:

Kwanza Binti hakua ndani kwa mshikaji. Alikutwa nje tu na simu ya jamaa.

Si umeona hata kwenye video wakati jamaa wanaingia ndani swali la kwanza ni "huyu Binti yuko wapi?"

Kwahiyo dada mtu alipata wapi muda wa kuwaita polisi, Mkuu wa wilaya na Azam media ndani ya muda mfupi hivo?

Kumbuka kosa la jamaa kumuazima Binti simu yake. Yaani Binti hajakutwa ndani kwa jamaa. Kakutwa nje na dada yake kashika simu ya jamaa.

Hii kesi wewe unaonaje? Mbona ina maswali mengi hayana majibu?

Ama jinai yake ni kumuazima mwanafunzi simu usiku?

Hivi kesi ikienda mahakamani na Binti akashikilia msimamo wake kuwa hajawahi kugongwa na mshikaji, bado jamaa atahukumiwa?
 
Kama hayo yote yanahusika hii kesi bado ngumu. Maana daktari vipimo vyake vinasema kuwa dogo kaingiliwa ila dogo anakataa
 
Ila nae kazid,miaka kum na mbii hata kusafisha papa hawez unapata wap ujasir wa kupiga pin???

Kwan mshkaj ana umri gan???
 
Nimewaza mwamba sijui watamtupa gereza gani aisee maana dah, akichomoka asali sala zote na mapambio
Ina maana dada mtu alipofika:

Kwanza Binti hakua ndani kwa mshikaji. Alikutwa nje tu na simu ya jamaa.

Si umeona hata kwenye video wakati jamaa wanaingia ndani swali la kwanza ni "huyu Binti yuko wapi?"

Kwahiyo dada mtu alipata wapi muda wa kuwaita polisi, Mkuu wa wilaya na Azam media ndani ya muda mfupi hivo?

Kumbuka kosa la jamaa kumuazima Binti simu yake. Yaani Binti hajakutwa ndani kwa jamaa. Kakutwa nje na dada yake kashika simu ya jamaa.

Hii kesi wewe unaonaje? Mbona ina maswali mengi hayana majibu?

Ama jinai yake ni kumuazima mwanafunzi simu usiku?

Hivi kesi ikienda mahakamani na Binti akashikilia msimamo wake kuwa hajawahi kugongwa na mshikaji, bado jamaa atahukumiwa?
 
Mshikaji anachomoa hii

Kesi rahisi sana hii
 
What if Daktari kahongwa pia [emoji23][emoji23]
 
Huyo dada mtu inaonekana alikuwa anajua michezo yao kaamua kuwakamatisha
 
Hata mimi sijui tusubiri wataalamu
Acha tuone patamu sana hapo.

Ingekuwa ni mchezo familia ya binti wameucheza ili wapige hela za mshikaji kama baadhi ya familia za wenyeji wa Singida zilivyokuwa zinawafanyia walimu wapya, dogo angesema kuwa ameingiliwa

Inaonekana kuna watu tu wa nje wamechoma hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…