Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Halafu nasikia jela huko ukienda kwa makosa ya kubaka watoto wadogo kwanza wanaanza kubaka wewe.

Kijana handsome la kutisha,nkajiharibia maisha yake kijinga kabisa, kuna wanawake wengi kuliko wanaume wantafauta wanaume mpaka kwa waganga wa kienyeji.

Huyo ni shetani, hafai kuwepo kwenye jamii.
 
Na udini tena kwenu BK tupe full details
 
Kesi nzito sana hizi ila siku hizi nako zimeingizwa uhuni pia.

Kuna mchezo mpya siku hizi mama mwenye nyumba huwa anawafundisha maksudi mabinti wawe wanaingia vyumba vya wapangaji wa kiume.

Wakiingia vyumbani tu hata kucheki muvi, mama mwenye nyumba anamstua mtendaji wake na polisi wake waje.

Hapo kuchomoka uwe na zaidi ya laki 3, kama wanajua una kazi utatema hata milioni.

Wengine hawaitaji pesa wanakunyoosha tu ukaozee jela
 
Huyo kapimwa kwa mujibu wa madakatari kaingiliwa. Hapo hakuna game, labda achomoke kishria zaidi, kwa sabau hakuna sheria ya kibinaddam duniani isiyokosa kasoro.

Kukutwa na mtoto wa miaka 12 chumbani ni kosa la jinai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…