neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 727
- 2,421
Habari wakuu bila shaka humu Kuna watu wa Aina mbalimbali naomba tumsaidie huyu dada anatafuta kazi!! Alikuwa anafanya kazi Suma JKT kutokana na matatizo ya nyumbani kwao mwanza aliacha! Kwa sasa anatafuta kazi yoyote ilimradi yenye kuheshimu utu wa mtu!
Kama upo serious kumsaidia huyu dada yetu! Naomba uje inbox upate mawasiliano yake
Hii ndo cv yake kwa ufupi tu
Jina;loveness mbena
Mkoa;mwanza
Umri; miaka 23
Sijaolewa
Kazi niliyowahi kufanya ni ya suma jkt
Kama upo serious kumsaidia huyu dada yetu! Naomba uje inbox upate mawasiliano yake
Hii ndo cv yake kwa ufupi tu
Jina;loveness mbena
Mkoa;mwanza
Umri; miaka 23
Sijaolewa
Kazi niliyowahi kufanya ni ya suma jkt