neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 727
- 2,421
Yupo tiyari mkuu msaidieMungu atampambania. JF watu wengi wasikivu, atapata.
Yupo tayari kua allocated kimkoa?
Ndio mkuuYupo mwanza?
Kama upo tiyari mkuu nikupe namba yakeHuyu kazi ya ulinzi wa viwandani amapata kirahisi mno kwa bongo ,afanye atume picha yake full , nisije mpa ajira mapengo hapa🤔
Anavigezo vya ulinzi afanye kunitafuta mimi , mimi sina shida ya kutafuta yeyote humuKama upo tiyari mkuu nikupe namba yake
Sawa mkuuAnavigezo vya ulinzi afanye kunitafuta mimi , mimi sina shida ya kutafuta yeyote humu
Sawa mkuu
sawa tutaona cha kufanya jumatatuNdio mkuu
Iringa Kuna sehemu wanahitaji mpishi wa Shule, 150,000 kwa mwezi
+255622086485 msaidie mkuu bado ana uhitajiAngekua Dar na ana cheti cha form four na namba ya Nida, ningemwambia aende ofisi za kampuni ya ulinzi, kama G4S, Gardaworld au SGA. Angepewa training ndani ya siku chache na kupata ajira kabisa.
Kwa mkoani sijajua