chuo kikuu cha udom kipo wapi??Amenituma kumtangazia anatafuta kazi inayolingana na profession yakeje ni mashirika au makampuni gani anaweza kupata ajira?Amamaliza kwenye chuo kikuu cha udom.Wanajamii forums mmekuwa mkinisaidia binafsi kwa mambo mengi naomba nisaidieni kwa ombi la kijana huyu ambaye hata hela ya kuingia kwenye inetrnet hana sasa ameniomba nimsaidie kutoa hii advertisement yake kwenuasanteni
Kipo Dodoma mkuu au umeamua kukejeli tu.......chuo kikuu cha udom kipo wapi??
Kipo Dodoma mkuu au umeamua kukejeli tu.......
Acha kejeli za ajabu watu wapo serious na hapa jamiiforums tuna utamaduni wa kusaidiana kwani kuna watu wazima wenye akili timamu.
Hahaha sina cha kuongeza zaidi ya mbavu zangu:becky::becky: kumbe uliuwa usaili wa kazi anayotafuta! Hahaha angalau nimepunguza stress.Ndio unasaidiwa hivyo hakuna chuo kikuu cha udom kipo chuo kikuu cha Dodoma au ndio mambo ya barabara ya morogoro road.
si useme tu ni wewe,unaficha ficha nin asa?
jamani wapendwa mimi ninayeandika hii advertisement ni mama mwenye miaka 53 kisha nina ajira yangu tu kwenye shirika kubwa hapa dar. Sina haja ya kusema uongo. Huyu kijana mama yake ameniomba nimtangazie mwanawe na wenyewe wapo tanga na hali ya maisha kuingia kwenye mtandao ni gharama. Naomba siku zingine muwe mnafikiria kwanza kuliko kukurupuka kusingizia mtu kwama anadanganya ni yeye mwenyewe.
Naomba nieleweke hivyo......
Au nitoe cv yake hapa huyu kijana muine?
Ndio unasaidiwa hivyo hakuna chuo kikuu cha udom kipo chuo kikuu cha Dodoma au ndio mambo ya barabara ya morogoro road.
Ndio unasaidiwa hivyo hakuna chuo kikuu cha udom kipo chuo kikuu cha Dodoma au ndio mambo ya barabara ya morogoro road.