Anatafuta kazi ana degree ya history na short course ya utalii

Anatafuta kazi ana degree ya history na short course ya utalii

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
94
Amenituma kumtangazia anatafuta kazi inayolingana na profession yake
je ni mashirika au makampuni gani anaweza kupata ajira?
Amamaliza kwenye chuo kikuu cha udom.

Wanajamii forums mmekuwa mkinisaidia binafsi kwa mambo mengi naomba nisaidieni kwa ombi la kijana huyu ambaye hata hela ya kuingia kwenye inetrnet hana sasa ameniomba nimsaidie kutoa hii advertisement yake kwenu
asanteni
 
nenda kwenye mashule utapata tu kazi ya kufundisha dah kuna zaidi ya shule 70 nenda shule za kata uombe part time teaching job na uhakika utapata tu usife moyo kiivo mkuu..
 
Amenituma kumtangazia anatafuta kazi inayolingana na profession yakeje ni mashirika au makampuni gani anaweza kupata ajira?Amamaliza kwenye chuo kikuu cha udom.Wanajamii forums mmekuwa mkinisaidia binafsi kwa mambo mengi naomba nisaidieni kwa ombi la kijana huyu ambaye hata hela ya kuingia kwenye inetrnet hana sasa ameniomba nimsaidie kutoa hii advertisement yake kwenuasanteni
chuo kikuu cha udom kipo wapi??
 
chuo kikuu cha udom kipo wapi??
Kipo Dodoma mkuu au umeamua kukejeli tu.......
Acha kejeli za ajabu watu wapo serious na hapa jamiiforums tuna utamaduni wa kusaidiana kwani kuna watu wazima wenye akili timamu.
 
Kipo Dodoma mkuu au umeamua kukejeli tu.......
Acha kejeli za ajabu watu wapo serious na hapa jamiiforums tuna utamaduni wa kusaidiana kwani kuna watu wazima wenye akili timamu.

Ndio unasaidiwa hivyo hakuna chuo kikuu cha udom kipo chuo kikuu cha Dodoma au ndio mambo ya barabara ya morogoro road.
 
Ndio unasaidiwa hivyo hakuna chuo kikuu cha udom kipo chuo kikuu cha Dodoma au ndio mambo ya barabara ya morogoro road.
Hahaha sina cha kuongeza zaidi ya mbavu zangu:becky::becky: kumbe uliuwa usaili wa kazi anayotafuta! Hahaha angalau nimepunguza stress.
 
si useme tu ni wewe,unaficha ficha nin asa?

jamani wapendwa mimi ninayeandika hii advertisement ni mama mwenye miaka 53 kisha nina ajira yangu tu kwenye shirika kubwa hapa dar. Sina haja ya kusema uongo. Huyu kijana mama yake ameniomba nimtangazie mwanawe na wenyewe wapo tanga na hali ya maisha kuingia kwenye mtandao ni gharama. Naomba siku zingine muwe mnafikiria kwanza kuliko kukurupuka kusingizia mtu kwama anadanganya ni yeye mwenyewe.
Naomba nieleweke hivyo......
Au nitoe cv yake hapa huyu kijana muine?
 
Mama,vijana wa siku hizi hautawaweza,huo ni uchokonozi changamshi tu wanakupa,si unaona sasa unavyojipambanua mbele yao.
 
Ndio unasaidiwa hivyo hakuna chuo kikuu cha udom kipo chuo kikuu cha Dodoma au ndio mambo ya barabara ya morogoro road.

sasa kama umeelewa kuwa siyo udom ni university of dodoma unatafuta kukosoa kosoa nini acha kupoteza muda kwa vitu vidogo vidogo
Mada uliishaielewa kama unataka usaidie saidia kijana mwenzako wacha kukosoa kosoa ingia kwenye mada yenyewe
 
Back
Top Bottom