Anatafuta kazi

Anatafuta kazi

Msichana wa miaka 25 anatafuta kazi yeyote ya halali elimu degree ya ualimu, lakini anafanya kazi yeyote mama lishe, restaurant, usafi yaani yeyote ile ya halali ambayo mwanamke anaweza fanya hata loan officer.Itapendeza kazi ikiwa dodoma , Dar au mkoa wa pwani ila kwengine kokote anafanya. Kwa mwenye kazi naomba aweke namba yake kwenye comment au aweke comment nimfate pm. Kazi za ndani na baa medi hapendelei, asanteni.
loan officer nafasi iko Arusha. piga muda wa kazi kuanzia kesho 0272976667.
all the best
 
Back
Top Bottom