yaani hili kama Bakwata CCM hawatalikemea la kujitolea matamko ovyo linatuharibia WaisilamuMimi mwenyewe ni muislamu ila hawa mashekhe njaa wanashusha hadhi ya uislamu tunajumuishwa waislamu wote kuwa hamnazo
Dola inashindwa ingekua haishndwi Bado Dola ya kirumi ungekuwepo ,Bado Dola la wakolon wangekuwepoDola haishindwi hasa kwenye Utawala wa CCM wanaweza sana ilimradi madaraka wanao.
CCM nafkiri wameishiwa mbinu kama walivyotengeneza tume huru ya kitapeli na ndiyo wanatumia mbinu ileile kutengeneza mashekhe feki wa kitapeli naona mbio zao zimefika ukingoni kichekesho kingiine ni tume ya uchunguzi wa vurugu na mauaji siku ya uchaguzi miongoni mwa wajumbe ni aliyekuwa waziri wa ulinzi na sizani kama hata ofisi kama tayari amekabidhi yaani mbinu zimekwishayaani hili kama Bakwata CCM hawatalikemea la kujitolea matamko ovyo linatuharibia Waisilamu
🤣Yaani hata shetani hawezi kuitafuta hiyo sababu.
Kanisa katoliki sio kanisa la Mwamposa aliyejenga hoteli mbeya waumini wakatomb@ne. Kanisa katoliki linamiliki na kuendesha vyuo,taasisi, shule na mahospitali haa nchini.Huo ndio ukweli
Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
Ukiifuta TEC, maanake umeifuta Hospitali ya Bugando iliyoko Mwanza, umefuta vyuo vikuu vyote, shule na hospital zilizoko chini ya TEC.Huo ndio ukweli
Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
Wakatoliki hawagusiki hata kidogo. Kama Samuya anadhani ni mwanamke rijali akalifungie kanisa katoliki. Atajua hajui!Huo ndio ukweli
Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
Kagame ameweza na mpaka leo hakuna nywi nywi nywiDunia hii hayupo wa kuligusa Kanisa Katoliki!
Kagame? Kufungia kanisa katoliki?Kagame ameweza na mpaka leo hakuna nywi nywi nywi