Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
Wadau
Natafuta mtu wa kusimamia biashara ninayotaka kuanzisha ( bidhaa ndogo ndogo) , awe na sifa zifuatazo;
1. Awe na uzoefu na upeo wa kufanya biashara hasa za bidhaa ndogo ndogo
2. Awe na uzoefu katika mambo ya kutafuta masoko
3 .Awe na elimu ya kawaida lakini ambayo imempa upeo katika nyanja za kibiashara
4 .Awe tayari kufanya kazi kama 'Partner' ambaye mchango wake mkubwa ni kusimamia biashara tu kwa 100%
5.Akiwa kama msimamizi , awe na uwezo wa kutafuta watenda kazi waaminifu ambao watakuwa chini yake.
6. Mimi na yeye tutakubaliana apate asilimia ngapi ya faida tutakayo pata sababu anakuwa shareholder na siyo mfanyakazi.
7. Vituo vya kazi vipya ni Dar na Dodoma ( nilianzia Morogoro)
8 Wanawake watapewa kipaumbele zaidi.
9.Aliye tayari atume CV yenye passport size kwa barua pepe :fazarashidi@gmail.com kabla ya tarehe 19 Februari 2021.
10. Maombi ni kwa ajili ya walio serious tu