Anatafutwa Business Partner kwa ajili ya kusimamia biashara ( Mtaji upo)

Hii ndio approach yangu ninayoitumia kwa biashara zangu zote......sijui haujaelewa nini? Wanawake huwa ni rahisi kufanya nao kazi sababu ya uaminifu ...wakiume wameshanisumbua sana na wengi ni wezi na hawaeleweki
Nakupm hunijibu
 
Kwani Business partner na Employee ni vitu sawa ??
 
Usimamizi wa biashara ni changamoto. Tangazo limejieleza vizuri.....Mchango wa Partner ni kusimamia kazi 100% halafu nampa shares siyo kwamba namuajiri ni kwamba na yeye anakuwa Owner...mbona mimi huwa nafanya hivyo biashara zangu zote? nini hakijaeleweka?

Hukuyasema hayo kwenye bandiko lako Mkuu.!
 
Shughuli gani vijana wapo waaminifu tu nina dada angu wa kichaga yupo njema ktk bizness
 
Mkuu hebu ainisha Terms za hiyo patnership ? Au unataka mtu akufanyie kazi alfu umlipe kama mfanyakazi na sio business partner.?
Duh inakuwaje ngumu kuelewa? Biashara ni ya two partners;
1.Partner no.1 mchango wake ni mtaji (Mimi)
2.Partner no.2 mchango wake ni muda, usimamizi , ufanisi - siyo mwajiriwa ni shareholder pia---yeye ataajiri -----huyu tutagawana shares kwa makubaliano ingawa gharama za awali kama usafiri nk zitakuwa juu ya Partner no.1
 
Ndo habari yenyewe.! Watu wana mbinu nyingi sana za kupata mademu kwa njia rahisiiii.!

Kwanza utawekaje kigezo cha jinsia ya kike kama nikutafuta mtu wa kufanya naye kazi kama partner kwenye Biashara. Kuna mambo ambayo lazima yawekwe wazi kama lengo nikupata business partner.
Hivi bado ni deal kupata wanawake kimapenzi miaka hii?
 
Hukuyasema hayo kwenye bandiko lako Mkuu.!
Duh inakuwaje ngumu kuelewa? Biashara ni ya two partners;
1.Partner no.1 mchango wake ni mtaji (Mimi)
2.Partner no.2 mchango wake ni muda, usimamizi , ufanisi - siyo mwajiriwa ni shareholder pia---yeye ataajiri -----huyu tutagawana shares kwa makubaliano ingawa gharama za awali kama usafiri nk zitakuwa juu ya Partner no.1

Kama unasifa ,just go ahead
 
Please see the email sent you
 
Back
Top Bottom