ANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini

Niko karibu na masasi ( Nachingwea ).laiti mngepata uelewa wa kijiji au ukoo ningeweza wasaidia hata viongozi wa serikali za vijiji mkajua pa kuanzia
 
Nashkuru Kuna wanajf wameshaanza nisaidia tayari na wengine wamenipigia mungu anawezabariki ngoja ikishindikana nitawaona clouds na Rfa pia
 
Majina hayana uhusiano na dini
Ni kweli ndugu yangu maana yawezakuwa huyo Ana aliitwa jina la mama wa mzee au mrs wake,tungepata jina halisi la huyo mrs wake ingesaidia kujua uhalisia wao lakini Ndo mambo ya kutuita kupitia majina ya watoto wetu Ndo tatizo pia
 
Niko karibu na masasi ( Nachingwea ).laiti mngepata uelewa wa kijiji au ukoo ningeweza wasaidia hata viongozi wa serikali za vijiji mkajua pa kuanzia
Ebu fanya hivi ndugu yangu wewe nipe namba za mwenyekiti wa Kijiji ulipo utakuwa umenisaidia pa kuanzia najua atanipa ushirikiano wa vijiji vingine pia ,naomba sana tumia hiyo namba yangu hapo juu
 
Nitakucheki kesho nikupe za wawili watatu majira ya saa nne kiongozi
 
Niko karibu na masasi ( Nachingwea ).laiti mngepata uelewa wa kijiji au ukoo ningeweza wasaidia hata viongozi wa serikali za vijiji mkajua pa kuanzia
Ebu fanya hivi ndugu yangu wewe nipe namba za mwenyekiti wa Kijiji ulipo utakuwa umenisaidia pa kuanzia najua atanipa ushirikiano wa vijiji vingine pia ada
Nitakucheki kesho nikupe za wawili watatu majira ya saa nne kiongozi
Sawa kaka naomba unisaidie naamini Safari hii mungu atasaidia
naomba sana tumia hiyo namba yangu hapo juu
 
Niko karibu na masasi ( Nachingwea ).laiti mngepata uelewa wa kijiji au ukoo ningeweza wasaidia hata viongozi wa serikali za vijiji mkajua pa kuanzia
Nakumbushia kaka naomba unitumie namba zao Kama umefanikiwa kuzipata
 
Habari zanu Wana JF?

Wengi mtakuwa mumeshapitia hii mada toka mwaka 2019,Mwaka huu mwanzoni tulibahatika kupata mfanyakazi mwenzake ambaye kwa sasa ni mstaafu na alitueleza kuwa yeye alianza kazi gereza la musoma mwaka 1984 Lakini baadae alihamishwa na kuelekea mikoa ya ukanda wa pwani Hadi kustafu kwake.

Kuhusu mzee Michael JUma alidai walikuwa nae wote kitengi Cha uselemala muda huo Ila baada ya yeye kutoka hawakuwahi kuwasiliana na pia kwa kipindi hicho mawasiliano ya simu hayakuwepo,na pia kuhusu kuwa alikuwa anatoka kijijii gani wilaya ya masasi hakuweza kujua maana haikuwa rahisi.Kwa sasa tunaendelea kumsaka huyu mzee asa kwa kuwa alikuwa na mtoto anaitwa Ana ambaye alizaliwa miaka ya 1980S na ambaye kwa sasa ni mtu mzima Kama yupo hai itakuwa rahisi kwake ipo siku atapatikana.

Kwa wale ambao ni Mara ya Kwanza kuona Uzi huu ni kuwa Mzee MICHAEl JUMA alikuwa ni Askari magereza ktk gereza la musoma miaka ya 1980s alihudumu apo Hadi miaka ya 1989 na alikuwa na mke mwenyeji wa singida ambaye Ndo walipata nae huyo mtoto ANA,baade kwenye miaka ya 1989 tunaambiwa aliacha kazi na kurudi kwao mkoani mtwara ambapo alikuwa anadai wazazi wake waliamia apo halimashauri ya mtwara baada ya kutoka masasi na mpaka sasa hatukuweza kupata wapi alipo na familia yake Kama yupo hai na bahati mbaya zaidi jina la ukoo hatu,kusudi la kumtafuta ni kutaka kumsaidia zaidi Kama yupo hai.Kama Ana au yoyote atakayesoma huu Uzi na kupata ufahamu juu ya huyu mzee tuwasiliane kupitia 0789443404.Asanteni.
 
Sawa mkuu,waulizie jamaa wa magereza na umoja wa wanamtwara popote walipo.
 
Back
Top Bottom