ANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini

ANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini

Yaani jitu linaondoka miaka yote hii halikutafuti, wewe leo ndio umtafute?!
Ni kweli huwezijua Kama yupo hai anaishi Maisha gani hicho Ndo kikubwa kwetu.Na Kama yupo hai ata kuwa mzee sana around 70 hivyo tutafanya utu tu kaka.Awali tuliweka zawadi ya laki 5 mpaka sasa hatukufanikiwa.
 
Back
Top Bottom