Wilson Gamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 808 Reaction score 878 May 28, 2024 Thread starter #161 Wilson Gamba said: Asante sana ndugu yangu Click to expand... Naomba Kama ulipata mawasiliano unitumie
Wilson Gamba said: Asante sana ndugu yangu Click to expand... Naomba Kama ulipata mawasiliano unitumie
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 May 28, 2024 #162 Yaani jitu linaondoka miaka yote hii halikutafuti, wewe leo ndio umtafute?!
Wilson Gamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 808 Reaction score 878 May 29, 2024 Thread starter #163 FRANCIS DA DON said: Yaani jitu linaondoka miaka yote hii halikutafuti, wewe leo ndio umtafute?! Click to expand... Ni kweli huwezijua Kama yupo hai anaishi Maisha gani hicho Ndo kikubwa kwetu.Na Kama yupo hai ata kuwa mzee sana around 70 hivyo tutafanya utu tu kaka.Awali tuliweka zawadi ya laki 5 mpaka sasa hatukufanikiwa.
FRANCIS DA DON said: Yaani jitu linaondoka miaka yote hii halikutafuti, wewe leo ndio umtafute?! Click to expand... Ni kweli huwezijua Kama yupo hai anaishi Maisha gani hicho Ndo kikubwa kwetu.Na Kama yupo hai ata kuwa mzee sana around 70 hivyo tutafanya utu tu kaka.Awali tuliweka zawadi ya laki 5 mpaka sasa hatukufanikiwa.
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 May 29, 2024 #164 FRANCIS DA DON said: Yaani jitu linaondoka miaka yote hii halikutafuti, wewe leo ndio umtafute?! Click to expand... Usilaumu,kabla ya kujua sababu halisi za kupoteana kwa miaka yote.hiyo! Everything happens for a reason bro!!
FRANCIS DA DON said: Yaani jitu linaondoka miaka yote hii halikutafuti, wewe leo ndio umtafute?! Click to expand... Usilaumu,kabla ya kujua sababu halisi za kupoteana kwa miaka yote.hiyo! Everything happens for a reason bro!!