Sasa kwani wakati unaanza kudate kwa nini ulikuwauweki dole ili ajue unapendaπ π π we shemu ashawai kukuweka dole kwani . ni ngumu sana kwa umpendae unae muheshimu unaweza anzisha seke seke
,π π π mke wangu nilipo mtolea ilibidi niwe pritendaa.. ndio inanipa shida kutelezaa baadhi ya maunyamaaaSasa kwani wakati unaanza kudate kwa nini ulikuwauweki dole ili ajue unapenda
Hahaha haendi mtu wallai! Yani huu mzigo makofi ya paa paa ukapigiwe u.k. instead ya hapa hapa kwa nyerereChino muulize Ankol National Anthem jana aliniita niende UK ndiyo mchongo huu? πππππ
Huuu mzigo unabaki hapa hapa huko majuu wa kina queen latifa Ni watu wa ovyo hawachelewi nao tamani zigo.Kapachino njoo uone jibu la Ankol, UK kwenda nako dah. Bae hatoniruhusu, unataka niachwe namimi ndiyo nimeshafika kwake.
umewahiwa Engineer πKila la kheri kwakee.
atavipigia kwa wakorofi mkuu π πHuuu mzigo unabaki hapa hapa huko majuu wa kina queen latifa Ni watu wa ovyo hawachelewi nao tamani zigo.
Sasa shemelaaa vibao atavipigia wapi.
Watu wanahofu vimada vyao visije nyakuliwa.Huku kuna nini kwani mtaalamu ? Mbona mnaweka gingi nyie ma chief
kushea upendo muhimu mkuu π πKuna videmu vinanipiga mizinga sana kwasababu havijaolewa wacha nikutumie namba tusaidieni ila jamaa avumilie sasa tukitaka mechi za ugenini.
Yaani ningekukosa mada za hivi ningeandamana[emoji23]Mkuu huwa upo na vichekesho sana, u always make my day yani!
Upo sahihi mkuu, maisha yafaa nini bila mbususuπ€£Maishaa hayaaa hayataki u sirialisi shwaaaa shwaaaa π π π
Lakini sijachangia vibaya Anne, si unajua wengine tuko branded na tabia zetu za hovyoπ€£π€£Yaani ningekukosa mada za hivi ningeandamana[emoji23]
Dah ππ π π we shemu ashawai kukuweka dole kwani . ni ngumu sana kwa umpendae unae muheshimu unaweza anzisha seke seke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimewahiwa ankoliiiiumewahiwa Engineer [emoji4]
Usikute jamaa ndo wewe ..ila nimecheka πN:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.
Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza ( life partner ). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..
Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri ( daraja la kati )
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.
Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapo kutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .
Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Upo sahihi mkuu, maisha yafaa nini bila mbususuπ€£
dah! mtaalamu wangu kakosa π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimewahiwa ankoliiii
Yaani ningekukosa mada za hivi ningeandamana[emoji23]
Upo sahihi mkuu, maisha yafaa nini bila mbususuπ€£
π π π πLakini sijachangia vibaya Anne, si unajua wengine tuko branded na tabia zetu za hovyoπ€£π€£