N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.
Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza ( life partner ). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..
Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri ( daraja la kati )
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.
Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapo kutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .
Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.